Psalms 28:5

5 aKwa kuwa hawaheshimu kazi za Bwana,
na yale ambayo mikono yake imetenda,
atawabomoa na kamwe
hatawajenga tena.
Copyright information for SwhNEN